Watalii wa Moja kwa Moja

Pata Booking Za Moja kwa Moja

Unamiliki hoteli au kampuni ya utalii? Tukusaidie kupata wateja wa moja kwa moja kutoka mataifa ya Ulaya na Amerika — bila kuingia kwenye mitandao ya kati.

500+
Wateja
15+
Nchi
98%
Fanikio
Jinsi Inavyofanya

Fanya Booking

Jaza taarifa zako — tutawasiliana na wewe mara moja

Malipo salama. Utapokea USSD kwenye simu yako.

Huduma Zetu

Tunakupa Nini?

Uuzaji wa Kidijitali

Tunawafikia wateja kutoka France, Germany, Italy, Spain na United States kupitia mitandao ya kijamii na Google Ads.

SEO & Uchambuzi

Tunaanza na uchambuzi wa website yako na kukusaidia kupata nafasi ya kwanza kwenye Google kwa maneno husika.

Direct Bookings

Pata wateja wa moja kwa moja bila kuingia kwenye mitandao ya kati kama Booking.com au Expedia.

Jinsi Inavyofanya

Hatua 3 Tu

1

Jaza Fomu

Weka taarifa zako na chagua aina ya kikao unayotaka kufanya nasi.

2

Lipia

Pia USSD kwenye simu yako na weka PIN ili kukamilisha malipo salama.

3

Pata Huduma

Timu yetu ya wataalamu itawasiliana na wewe na kuanza kazi mara moja.

Kwa Nini Sisi?

Manufaa Yako

0%

Komisheni kwa Direct Bookings

24/7

Msaada wa Wateja

40%

Ongezeko la Mapato

< 48h

Muda wa Kuanza

Tayari Kupata Booking Zaidi?

Jiunge na makampuni mengi ya utalii na hoteli yaliyofanikiwa kupitia huduma zetu. Anza leo.